ashery pone
Member
- Jul 22, 2021
- 39
- 217
Kama funza[emoji16]Vitamu sana
Mwamba kapigwa hasa. Bila wapinzani CCM wanatwangana wenyewe kwa wenyewe. Hata bungeni ni mpapurano tu. Nyerere alishaonya: ukila nyama ya mtu utaendelea tu kuila....Hooovyo!!!
Haka kavivu,kazi kulala tu,hakadaki panya[emoji41]
Say no to Rape, no matter what [emoji51][emoji51][emoji51]Mbake mambo yaishe, ebo
View attachment 1966078
Kamba!Wanasemaga wanafuatiliaga maombi kwenye TV,wakipona wanafunga na safari hadi dar kwenda kutoa ushuhuda[emoji41]
Ee,kuna maombi Kila SAA 3,usiku[emoji16]...Kama ukiwa unafuatilia anavyoomba,unachukua maji maombi yanapenya[emoji16]Kamba!
Kwa hiyo wanasafiri na magongo yao ya ulemavu na wanakuja kuyatupa hapo mbele ya mtenda miujiza?
Mmmmmmmh[emoji40]Karibu upate protein pyua mjukuu. Funza nini bana [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1966088
Yaani,kumbikumbi sili kabisa,nilikulaga nikatapika basi nawachukia[emoji3061]...hao wadudu wengine mmmh sijawahi kuwala,Mtoto wa kishua hujawahi kula kumbikumbi? Senene je? Panya? Mbwa? Panzi?