Milele2021
Senior Member
- Aug 21, 2021
- 181
- 2,317
Pole sana bro. Mungu atuepusheTahadhari,
Kumetokea sontofahamu moja hv nyumbani kwangu leo ambapo gari la mtoto lilipita mapema mno na wakaomba mtoto wa chekechea, wakisema gari yake ambayo inapitaga saa tatu imejaa, tukastuka kidogo na kusema hapana, wale jamaa kuona hilo hata hawakuongea wakaondoka, tunapiga simu shule tunaambiwa hakuna kitu kama hicho. Chukua tahadhari kama mzazi.. ...wameanza tena.Mkoa wa Dar es Salaam. Ikumbukwe pia kuwa school buses zipo nchi nzima na watoto wetu wote wapo vulnerable. Tusambaze ili wazazi tusiwe tunachukua majibu mepesi
Please send this to many Groups as much as possible
Asante kwa kutupa simulizi hii kwa ufupi maana sijawahi kusoma hicho kitabu,ila huyu jamaa huwa namsikia tuHuyu jamaa amesimuliwa kwenye masimulizi ya mtunzi wa kale Sir Henry Rider Haggard.(Mambo ya ajabu yaliyowapata Allan Quatermain na wenzake).
Anaitwa Umslopogas.
Huyu mwamba ameelezewa kama mfalme jasiri na mwenye nguvu wa Wazulu, aliyepoteza himaya yake kwa sababu za kimapenzi.
Kwa sababu hiyo akatorokea Afrika mashariki kukwepa kifo.
Akaja kukutana na msafara wa rafiki yake wa zamani, mwingereza mwindaji aitwaye Allan Quatermain.
Kwakuwa aliogopa kurudi kwao, aliungana na msafara huo kama kiongozi wa wapagazi (Wabeba mizigo).
Kwenye msafara huo amefanya mambo mengi ya kijasiri.
Mbona simuoni Spika hapo?Mirembe mental hospitalView attachment 1966178
😂😂😂![]()
Sent from my Huawei mate 9
😂😂😂😂![]()
Sent from my Huawei mate 9
😂😂😂
Hii ndio raha ya kuwa na shemeji mjini![]()
-Ndumilakuwili-
Nasikia anabutuliwa huyu
Fundi maikoUsitumie nguvu sanaView attachment 1966705View attachment 1966706