Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kitambi pia ni rafiki wa Presha

Kitambi na kisukari ni chanda na pete

Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.

Kitambi na mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu hawapishani.

Kitambi na heart attacks ndo kabisaaa!

Kitambi na kiharusi wako pamoja

Wenye vitambi nunueni nguo za mazoezi muanze jogging...ila msi-jog kiBAVICHA BAVICHA mtaswekwa ndani! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
IMG-20211003-WA0064.jpg
 
-KITAMBI kimeleta AJIRA (Clean 9 na Gym)

-KITAMBI kinakudhamini

-KITAMBI kinaharakisha PROCESS za MKOPO

-KITAMBI kinawapa WAKWE amani kwamba BINTI yao anaenda sehemu yenye SHIBE

-KITAMBI kinasaidia sana kwenye kufuta KIOO cha SIMU

-KITAMBI mwenzake SUTI

-KITAMBI mwezie VOGUE ,BMW ,MERCEDES BENZ

-KITAMBI kinakupa HARI ya KUTAFUTA maana KIKIPUNGUA tu WASWAHILI wataanza (KASHAFULIA)

-KITAMBI sio ULEMAVU

[emoji117] JIVUNIE ULICHOJAALIWA
[emoji117] NAWASALIMU wenye VITAMBI vyenu!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Utatuua
FB_IMG_1631039306216.jpg
 
Kitambi pia ni rafiki wa Presha

Kitambi na kisukari ni chanda na pete

Kitambi na upungufu wa nguvu za kiume ni washikaji sana.

Kitambi na mrundikano wa lehemu (cholesterol) katika mishipa ya damu hawapishani.

Kitambi na heart attacks ndo kabisaaa!

Kitambi na kiharusi wako pamoja

Wenye vitambi nunueni nguo za mazoezi muanze jogging...ila msi-jog kiBAVICHA BAVICHA mtaswekwa ndani! [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeupiga mwingi[emoji870][emoji870]
Mitano kwa SYB
 
Unaombewa nini??

[emoji1787]mie ninamaswali ex alikuwa ananiambia ninamaswali kama polisi[emoji23]

Usiku nikimuuliza umelala?? ananijibu nipo nje naotea jua[emoji1787][emoji1787]kichaa yule
[emoji23][emoji23] hadi mkaachana.
Mtu umetoka job, umechoka mwili na akili.... Vile unafika geto txt inaingia et "unafanyaje lv"[emoji23][emoji23].. So boring
 
Back
Top Bottom