Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,204
- 40,642
Tumeshazeeka kwakweliBabu
Tumeshazeeka kwakweliBabu
Na mie nataka nizeeke kama weweTumeshazeeka kwakweli

Kulikuwa na ulazima gani wa kujifunga kanga?Mwanaume hachagui kaziView attachment 1959956
Na kama ulishaCHAPUTIka basi ulishaua pia mamilioni ya viumbe wa Mola. Ni motoni tu stereiti yaani!
Nakaaga uan kwenye matukio ya kifamilia ikitokea kuna kazi mabint wanaitegea naipiga mwanzo mwisho wananichukulia km mtu wa kazi kumbe naficha udhaifu wangu wa kutokua na pesa kwenye michango huwa sisumbuliwMwanaume hachagui kaziView attachment 1959956
Unamaanisha kucholopoa haiesabik km umeua???
Nimeipenda hii
Shughuli ya kimilaKulikuwa na ulazima gani wa kujifunga kanga?