Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,878
- 37,782
Huyu ni mtalebani wa bongo ama?
Huyu ni mtalebani wa bongo ama?
Saa sita sasa bado upo macho?[emoji120]
EeSaa sita sasa bado upo macho?
Mkesha au
Kawaida tu[emoji16],muda wangu wa kulala badoMkesha au
Kuna watafiti waliwahi kufanya utafiti wao na kugundua wanao kua on line mpaka mida hii huwa mara nyingi wako singleKawaida tu[emoji16],muda wangu wa kulala bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. InawezekanaKuna watafiti waliwahi kufanya utafiti wao na kugundua wanao kua on line mpaka mida hii huwa mara nyingi wako single
Wezi wapi, wana zuga tu muda uende baada ya kuhesabu Kenchi mpaka zikaisha![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. InawezekanaView attachment 1942712
Ukipata nafasi ya kuwa single.....usiichezeeWezi wapi, wana zuga tu muda uende baada ya kuhesabu Kenchi mpaka zikaisha!
Ndio kawaida ya bin Adam Bora Jana kuliko leo.Ukipata nafasi ya kuwa single.....usiichezee
Unaweza usijute lakini ukifikiria conclusion lazima ujute!Baadhi,unajua vile labda kuna mapito mtu kayapitia basi wala hajutii kuwa single
Ooooh ikitokea,Unaweza usijute lakini ukifikiria conclusion lazima ujute!
Kumbe haijatokea[emoji1787][emoji1787]Ooooh ikitokea,
Ulisha juta huko nyuma sasa ushazoea ushaona kawaida, ila mwanzoni majuto na maumivu kukesha ni lazima aiseeBado haijatokea mie kujutia kuwa single,labda mbeleni[emoji3][emoji3]
ByeKukesha,kuumwa,kutokula ni lazima itokee,ukishazoea mbona poa tu,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uhuru wa habari unaanza kudorora[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Watazima Twitter au itakuwaje?
View attachment 1942384
Alidhani ni rahisi kama kutamka alipokua anasema anakwenda kufungua nchi![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Watazima Twitter au itakuwaje?
View attachment 1942384
Anapaswa kusimama katika haki kama ilivyoainishwa katika katiba yetu. Kazi rahisi sana yaani!Alidhani ni rahisi kama kutamka alipokua anasema anakwenda kufungua nchi!
Ukiwa kiongozi huwezi kuwaridhisha watu wote katika mambo yote, wewe fanya lile ambalo hata nafsi yako haita kuhukumu kwa ubaya.