Japo ni ndoto kutokea,mi nataka tupigwe nyingi,ili akili itukae sawa.Yanga wako tayari kufanya kitu kama hiki Nigeria.
Kila la kheri watani[emoji123]View attachment 1941636
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mkipigwa nying hatutoshangaa ila tutashangaa km mkifungwa chache km nne hv au tanoJapo ni ndoto kutokea,mi nataka tupigwe nyingi,ili akili itukae sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakua yule bint anaejitambulishaga kuwa yey ni modo wa ukwel
Wamama wapo vzr kwenye kuhifadh,Bi Mkubwa alinihifadhia mpaka kadi langu la klinik lile la ung'aa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1941652
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mkipigwa nying hatutoshangaa ila tutashangaa km mkifungwa chache km nne hv au tano
Unamsomesha hili uwe unakula chakula kizuri[emoji8]Hapo ndipo shughuli ilipo. Na walivyo wa hovyo sikuhizi nimsomeshe awe anampikia muuza mkaa...never!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kumsomesha mtoto wa mtu hata kozi ya wiki,haitokaa itokee.Unamsomesha hili uwe unakula chakula kizuri[emoji8]
Sasa wewe usifananishe na hao wa hovyo,,,,omba MUNGU Upate mke uendane nae,wapo we ng I wazuri kwa sura na vyote,
Kama wampenda kweli wataka awe mkeo,fanya akija kwako mkabidhi jiko ujionee,
siyo mnaenda kununua viepe kwa mpemba.