moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,147
- 770,250
Daaa,


mpaka watu Mbeya nao siku hizi wanaomba kiboga!?Kama unaijua hii stori ya Mandawa na Manenge acha ubishi nenda kachanjwe mhenga wewe...
View attachment 1908836

Chanjo inanihusu, darasa la pili miaka mingi sana iliyopita
Loooh,Pole mwaya kwa kupelekwa mahakamani ila ulmkomesha mfiraji uyo




Nina kisa cha kidini kinachofanana sana hiki, lakini kwa leo tuache tu.



Umetushauri hapo juu tuache kwa vile memes hazina future hapa tena unatutia moyo tuendelee ili tuzidi kukosa future. Au ndo umeanza falsafa zako? Kwema huko lakini?







Bangi hiyo tena yale mashadaWatoto wa kishua; nini hiki?View attachment 1909391