Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Uwongo mwingi kuliko ukweli hapa.
1. Hela alizoiba, japo haijulikani idadi kamili, wengi wanaamini hazikuzidi bilioni 1. Bilioni 40 ni pesa nyingi sana!
2. Hakuwahi kuhukumiwa kunyongwa; na wala hakunyongwa. Yuko hai bado, japo yuko jela bado.
3. Alipewa nickname ya smiling hacker kutokana na tabia yake ya kupenda kutabasamu akiwa mbele ya media wakati wa kesi zake.


