Milele2021
Senior Member
- Aug 21, 2021
- 181
- 2,317
Duh, huwezi dhani kabisa! Enyewe binadamu tuna siri kibao akilini mwetuBata la mwisho mwishoView attachment 1908297
Ni kupeleka Moto [emoji91][emoji91]tu mpaka mtoto anashindwa kutembea [emoji23][emoji23][emoji23]Mohamed una maajabu gani mwenzetu?View attachment 1908420
Akikuwaza tyu, anakumbuka zile tiki taka zako za kizee ulizom'actia..Ni kupeleka Moto [emoji91][emoji91]tu mpaka mtoto anashindwa kutembea [emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka lile goma la "blue" nafkiri la 'kizizi'? Sasa hapa mtoto kawa chizi freshi hadi kuchorwa huku! Dadeq! 🤣 🤣 🤣 🤣Mohamed una maajabu gani mwenzetu?View attachment 1908420
Lazima ujiongeze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa fursaView attachment 1908500
Sio Mr Blue bali ni Bablee, Kizizi.Unakumbuka lile goma la "blue" nafkiri la 'kizizi'? Sasa hapa mtoto kawa chizi freshi hadi kuchorwa huku! Dadeq! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]