Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kweli. Mzigo umetulia. Hasa kama ni mfuasi wa shetani mlaanika,hapo ndo pakuongezea dhambi zote!![emoji85][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ni kila mtu na lwake kwa sababu hayana fomyula; na wala hakuna haja ya kuyafanyia majumuisho butu (myopic generalizations) wala kuyaandikia tasnifu.....Majimama for life [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1908707
Kama kila mtenda dhambi ni mfuasi wa shetani mlaanika basi wote ni majiganyanza. Labda tunazidiana viwango tu but again it doesn't matter kwa sababu hakuna dhambi ndogo na kubwa na ukivunja amri moja basi umevunja zote. Therefore; your logic is illogical here!Kweli. Mzigo umetulia. Hasa kama ni mfuasi wa shetani mlaanika,hapo ndo pakuongezea dhambi zote!![emoji85][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]doh
Makomwe siku hizi yanapunguzwa kwa operesheni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1908780