Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,256
Pole mwaya kwa kupelekwa mahakamani ila ulmkomesha mfiraji uyo
Pole mwaya kwa kupelekwa mahakamani ila ulmkomesha mfiraji uyo
We hujui tu! Steak tunawaachia nyie wa masaki!Haya mambo ni kila mtu na lwake kwa sababu hayana fomyula; na wala hakuna haja ya kuyafanyia majumuisho butu (myopic generalizations) wala kuyaandikia tasnifu.....Majimama for life
View attachment 1908707



Hahhaa huyu jamaa mjinga sanaakikosa kazi atalaumu ajira ngumu
View attachment 1908852
Hii sio Meme ni ukweli, Hakuna future kwenye meme. Zisitupotezee muda mwingi unless ndio kaz yako![]()


). Future tutakuja kukopa kwenu ambao mko siriazi na maisha!Ukweli hautausikia...utasikia wanachotaka usikie. Utakuja kusikia Hamza alikuwa na matatizo ya akili...Ngoja tusubiri majibu wa wapelelezi,utafurahi na roho yako.
Naamini hakuna mpuuzi anaweza kuamua tu bila sababu ya msingi kufanya tukio kama la jana.
Na kama angekuwa na nia mbaya angeanza na wale wa kwenye magari.
"Haki aiombwi,ni wajibu kuipata/kuipigania".
Komwe linapigwa nyundo mpaka linabonyea aiseeWazungu wanafanya kila kitu aiseee![]()


Huwaga sielewi kabisa logic ya mlegezo hasa huu wa kuonyesha makalio. Mwanaume unapofanya hivi; unategemea nini? Why?
Kama na Kigogo yumo, wamuweke na Kigwangalla samuwhea
MkuuPole mwaya kwa kupelekwa mahakamani ila ulmkomesha mfiraji uyo




