Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji818][emoji818][emoji818]
Kukimbizana na mtu ambaye hajawaibia wao, wivu umewapeleka kuzimu.Ajali yenyewe ilikuwa hivi[emoji116]View attachment 1905507
Spidi mia ishirini, the one and only.JK mtoto wa mjini...He is back !!!
View attachment 1905074
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mitaa ya Makumbusho, dah[emoji16][emoji16] kumbe unamfahamu. Kitambo.Ndio mwenyewe [emoji16][emoji16]
Mtoto wa bosi na garden boy, hapo kutitipuana huwa ni jambo lisilokwepeka. Na sometimes unakuta huyo garden boy anakula binti na mama mpaka wanajuana na kuanza wivu na kufanyiana visa huku mshua akiwa busy kutafuta pesa familia iishi vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wild [emoji75]View attachment 1905768