Ni wale wapendwa wa TRA? Inaonekana walikuwa fulu fosi na wamelibamiza fuso wakiwa moto hatari. Wapumzike salama [emoji1545]Ajali yenyewe ilikuwa hivi[emoji116]View attachment 1905507
Gharama za urafiki hizoYaani hii kitu inakera jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mahesabu makali sana.
Hakuna mkweli atakayezingatia hilo.[emoji122]
View attachment 1905049
Ndio mwenyewe [emoji16][emoji16]Huyu baharia ndiyo yeye ninayemfahamu au nimemfananisha, mzee kijana flani mtata.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
😂😂Mahesabu makali sana.
Ila huku uswahilini bei ya maharage ni zaidi ya 500 na mkaa si zaidi ya 1000
Simaanishi ubaya lakini sidhani kama Mpango afya yake ni nzuri. Tangu augue waliyosema Korona wakati ule nadhani hajapona sawasawa. Hata kwa kumwangalia tu. Labda alipata ile inaitwa Long haul Covid - unapona lakini unakuwa na madhara ya muda mrefu na unapona polepole. Ubaya hawa wakubwa hawasemagi hata kama wanaumwa.
Ni nani huyo?Ndio mwenyewe [emoji16][emoji16]