Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nyumba bila kitanda kutikisika mara kwa mara haikaliki!
IMG-20210823-WA0043.jpg
 
Nakwambi Hapa Tanzania kwasasa tunadabi tatu 1.Simba vs Yanga
2.Twaha Kiduku vs Dulla Mbabe
3.Gwaji boy vs Gwaji girl
Hiii ya mwisho ukichanja chanjo maanake ww ni ngwaji girl na ukichanja mbuga maanake ww ni Gwaji boy sasa maisha ni kuchagua
Na Hadi tunaingia mitamboni timu FT :Gwaji boy 3 vs 0 Gwaji girl

Gwajiboi 3; Gwajigirl 0
IMG-20210823-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom