Tayari.Selfika naye basi
Yaani hadi unatamani kulia. "Najua unanidai, na nishakwambia nitakulipa"Eeh muda hauo nakwambia "bana wee kama unnidai ndiyo nishindwe na kunywa soda, nimesema nitakupa"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapo urafiki lazima ufe tu walah!! Maana majibu utakayopewa[emoji2297][emoji2297]Gharama za urafiki hizo
Ni wewe uliyapitia mamaa?Maumivu,hayaelezeki[emoji24]View attachment 1905978View attachment 1905979
Mara nyingine afadhali hata marafiki kuliko ndugu.Hapo urafiki lazima ufe tu walah!! Maana majibu utakayopewa[emoji2297][emoji2297]
Na usipomsaidia rafiki yako akikwama, huo ni urafiki gani sasa!! Ila binaadamu daaah!!
Mie ndugu sikopeshi, nasaidia pale ninapoweza kwakweli. Maana daaah!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mara nyingine afadhali hata marafiki kuliko ndugu.
Mi nasumbuliwa na ndugu zangu, aisee.
Unamsaidia lakini anakusimanga kama amekuzaa.
Ila yote kwa yote ni changamoto za kawaida sana, usivunje undugu au urafiki kwa sababu za aina hiyo
Npo hsp,naumwa sana.
Pole sana mamaa!!!Npo hsp,naumwa sana.