Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Hii tamthilia, pamoja na zingine zote za azam walizozitafsiri sijawahi kuzielewa,sielewi hii tamthilia wallah,yaan hadi wanamama wanashobokea balaa
![]()
Hii tamthilia, pamoja na zingine zote za azam walizozitafsiri sijawahi kuzielewa,sielewi hii tamthilia wallah,yaan hadi wanamama wanashobokea balaa
![]()
Sielewi kitu kwenye tamfhilia,afu mie mvivu kuangalia tv siweziHii tamthilia, pamoja na zingine zote za azam walizozitafsiri sijawahi kuzielewa
Sasa saiv unaangalia nini, na mambo yako yale ndio yapo bannedSielewi kitu kwenye tamfhilia,afu mie mvivu kuangalia tv siwezi


salama salmin, kuwa na aman ChakoriiYani nilishaanza kuogopa ujue..maji yaliyohai ni ya kwenye glass tu hayo mengine yanaweza kukuondoa uhai kimasihara
Tuko Taleban.
Mkuu hii bahari, ni vigumu kupitia post zote.Wakuu, ni aibu ku repost alichopost mwenzio, tafuta kingine upost!!
Weeeeh,nitake radhi,siangaliagi ujinga ule khaa!Sasa saiv unaangalia nini, na mambo yako yale ndio yapo banned![]()
Hilo neno 'nchi' nililiona vibaya mwanzo. N'kasema haya!!!!!Hivyo ni bora tuuze nchi tugawane hela?