Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

6c462b.jpeg
 
Nipo huru kuchangia bana labda ungeweka disclaimer kuwa SYB usichangie hapa. Na ni lazima niwatetee malast born wenzangu. Sisi tuna upendo wa kweli na tuna roho njema iliyojaa huruma japo pia tunaweza kudeka kidogo hapa na pale. Na utambue kwamba ufurushi wa mwanaume mara nyingi unasababishwa na ufurushi wenu - choyo, wivu uliopitiliza, visasi, roho mbaya... Kwa hivyo kama una tendency ya kupata wanaume mafurushi, jichunguze mwenyewe kwanza. Kama una moyo mwema, huna visasi, una upendo wa kweli na una good intentions hutakaa upate furushi hata siku moja!
👌🏾👌🏾
 
Ulivyojitetea sasa!! Halafu mbona kama umepanik SYB
Lakini bado tunarudi kule kulekule, furushi ni furushi tu hata angekuwa na mwanamke wa aina gani
 
Back
Top Bottom