We mbona wala siyo mfupi kihivyo jamani. Kuanzia sasa kila atakayekuonea mlete kwangu nitamnyorosha!Sijambo Daddy SYB..uhali gani?
Yani tunaonewa mno sisi andunjez[emoji3064]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu lazima uchangie. Sasa last born wa kiume we uliona wapi hawi furushi?