moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,327
- 775,818
Ankali pande zipi[emoji106]Nipo ankalii
Ankali pande zipi[emoji106]Nipo ankalii
KulalaAnkali pande zipi[emoji106]
Nielekeze ankaliKulala
Mbavu zangu mweeee.
Kumbe nawe umeona? Mimi siyo faiza fox lakini amekosea tense pale.Lugha ya malkia.
Waache,wakule avatar zetu kwa macho[emoji1784]Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Domo zege wapo humu
Mnamambo ya ajabu[emoji41]Jamani.
Wajuaji mtuambie ukweli ulivyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1896167
[emoji23][emoji23]Kumbe nawe umeona? Mimi siyo faiza fox lakini amekosea tense pale.
Binafsi sipendi video call H muda wowote ule,sijui kwanini khaa!
Wakung'ate.Fuata nyuki.........View attachment 1896085
Hawawezi mng'ata,anafuata asali ya asiliWakung'ate.
Safi sana.
Ndivyo ukweli ulivyo, this is according to my own experience.Jamani.
Wajuaji mtuambie ukweli ulivyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1896167
Na amekulia Kenya na kusomea huko huko Kenya.Kwamba amezaliwa Kenya[emoji849]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hawawezi mng'ata,anafuata asali ya asili
My kinda girl[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].Binafsi sipendi video call H muda wowote ule,sijui kwanini khaa!
NB,situmii poda,wanja sijui na nini sijui situmii,,maana nikijipaka hayo mavitu naona aibu hata kutoka nje,siwezi