Hivi sanga ndio wanyalu?View attachment 1895839
[emoji51][emoji51][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbio za sakafuni[emoji2902][emoji2902][emoji2902]Smh! naendelea na mbio zangu si kaka ako mimi [emoji16]
Sijui mpendwaHivi sanga ndio wanyalu?
Ningekua mimi huyo dada ningemuuzia dola 1000 kapu moja!
Sipati picha waziri wa ulinzi atakuwaje [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji38]
[emoji16][emoji16]Mbio za sakafuni[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
Wengine hawapendagi kupanda hayo maboda
Kuna mwanamke asiependa mseleleko[emoji13]Wengine hawapendagi kupanda hayo maboda
Ndo imetoka hiyo. Ukishaitwa kaka maana yake umeshapimwa katika mizani na umeonekana umepunguka. Kinachofuatia hapo ama ni brozone au friendzone. Pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukaka umeanza lini tena [emoji16]
Sena baadhi,mie usafiri wangu[emoji116]Kuna mwanamke asiependa mseleleko[emoji13]
Kweli mkuu kila mtu na priority zake. Mie suala la kupiga siwezi gombana na mke maanaUnaweza kubadili vyo vyote unavyotaka mkuu. Hayo yalikuwa maoni yangu tu. Kama unaweza kula kwa mama Ntilie kila siku poa tu ila mwanamke asiyejua kupika ni shida ndani ya nyumba![]()
Kha huo msambwanda hatari