Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,334
- 829,485
- Thread starter
- #63,141
Anayopitia Cyprian Musiba yanatukumbusha kuwa tusiishi kwa kumtegemea mwanadamu kama kinga
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mwanaharakati huru aliyekuwa maarufu sana hasa katika awamu ya tano, Bwana Cyprian Musiba, ameomba Watanzania wamuombee kwani anapitia wakati mgumu! ................................ Hoja na Mambo ya kujifunza a) Watanzania wote ni ndugu, wanasiasa wasituvuruge...







