Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Kanikumbusha wasakata kabumbu wa enzi zangu, hawa wasasa siwafahamu kabisa.
Kanikumbusha wasakata kabumbu wa enzi zangu, hawa wasasa siwafahamu kabisa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilidhan ofisi za sisiemUtopolo kama utopolo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1895778
Wanasema ni mlemavu ila ulemavu wake huu unamuingizia mpunga mrefuHongera kijana [emoji123]View attachment 1896652
Vijana mnakwama wapiView attachment 1896649
Kakimbaumbau kamewaka. Hapo dawa yake ni kuondoka tu ili ukapoze akili. Vinginevyo unaweza kukiua kweli!
Uuuuwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au MwaduiKaenda Barcelona,baada ya messi kutoka[emoji2902][emoji2902]View attachment 1895698
Za haja ndogo cha mtoto mbona....[emoji23][emoji15][emoji15]View attachment 1895714