[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuaminia Kamanda.Kila kitu ni chema wapendwa. Kwa umpendaye pesa haina thamani kwa sababu unakuwa tayari hata kutoa uhai wako ili kumlinda na kumfurahisha. Mtumishi; kwako tu acha niwe mshamba na Wanyaki wote wawe werevu. Kitaeleweka kwenye mavuno [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila sura inakujakuja!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naomba sana tusipangiane...na kila mtu ashinde mechi zake pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Siyo mapenzi,K ndo haina makombo. Unakuta jitu limepigwa huko mpaka imekua lapulapu lakini kuna fala linakujapiga goti"will you marry me!!",shenzi type.Acha wale tu kwa kweli. Kwani wanaondoka nayo? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1894900
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
Sina damu ya kichaga hata tone.Nata vocha hutumi,
Kama ni mie utakimbia mwenyewe[emoji23],vocha yang u,Sim u yangu kwa jasho langu, Hi yo nakujibu nikijisikia au nisikujibu kabisa[emoji6]
Wewe ni mchaga???View attachment 1894908
[emoji23][emoji23][emoji23]na mimi Mungu kanijaalia mwanangu analo,nimezaa na msambaa.....dah.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1894895
Sasa nimtumie mtu vocha ya nini?Nata vocha hutumi,
Kama ni mie utakimbia mwenyewe[emoji23],vocha yang u,Sim u yangu kwa jasho langu, Hi yo nakujibu nikijisikia au nisikujibu kabisa[emoji6]
Wewe ni mchaga???View attachment 1894908
View attachment 1893588
Moyo wa chuma sio huu wa nyama