Panapo hela hakishindikani kitu.View attachment 1893588
Moyo wa chuma sio huu wa nyama
Nakukumbusha pesa hainunui furaha.Panapo hela hakishindikani kitu.
%100 nakataa, bila hela furaha ni 0,Nakukumbusha pesa hainunui furaha.
Ok wewe unadhani ukiwa na pesa Mwanamke yoyote anaweza kubali uke wenza%100 nakataa, bila hela furaha ni 0,
Tena hata mbingu unaweza kuikosa bila hela
Akha!!!!View attachment 1893588
Moyo wa chuma sio huu wa nyama
Hizo sufuria ninazo,labda twende kwangu nikakuonyeshe godoro la kioo

Unaweza mrembo😀Akha!!!!
Hapana sio kila mwanamke anakubali uke wenza, kwa sababu nyingi.Ok wewe unadhani ukiwa na pesa Mwanamke yoyote anaweza kubali uke wenza
Ok nilidhani umemaanisha ukiwa na pesa hakuna Mwanamke anaweza kataa uke wenzaHapana sio kila mwanamke anakubali uke wenza, kwa sababu nyingi.
Mie hapanaUnaweza mrembo![]()


Iwapo mwanaume akiwa na hela ni rahisi sana kuwa na wake wawili bila ya hao wanawake kuleteana Shari.Ok nilidhani umemaanisha ukiwa na pesa hakuna Mwanamke anaweza kataa uke wenza