Kila kitu ni chema wapendwa. Kwa umpendaye pesa haina thamani kwa sababu unakuwa tayari hata kutoa uhai wako ili kumlinda na kumfurahisha. Mtumishi; kwako tu acha niwe mshamba na Wanyaki wote wawe werevu. Kitaeleweka kwenye mavuno [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Me:Aaaahsante,nitakula siku nyingine[emoji854]
Mwenyeji; sio vizuri,chakula kipo tayari kwaajili yako,karibu ule,karibu bana[emoji7]Kula hata kidogo tu[emoji120]
Me; Ahsante,nala.[emoji120][emoji120]View attachment 1894790
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Alikua akimaanisha nini labdaMapenzi na kazi View attachment 1895262
Thanks[emoji16]
Washushie na ubuyu[emoji39][emoji39]Leo hatuna meme,sikilizeni mziki tu[emoji7][emoji7][emoji977][emoji976][emoji974]View attachment 1895305
Nadhan ni aliyekua boss wake wa zamani itakua anatoka na mfanyakazi wake CEOAlikua akimaanisha nini labda
Anamaanisha SSC ndiyo mpenzi/mke/hawara. Hakutakiwa kuchanganya mahaba yake kwa klabu na kazi, I might be wrong.Alikua akimaanisha nini labda
زنجبار أوبويا، أو من أين؟Washushie na ubuyu[emoji39][emoji39]View attachment 1895359