Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Apo ni kumshukuru Mungu kwakwl daah I can't imagine that time mifuraha inazidi mihorny[emoji39]
Ukimaliza sasa ndo majuto yanaanza hasa kama umefakamia peku peku. Hata plate namba za magari zinaanza kuwa na mauzauza. Mara uone AIDS 47839 mara ARVS 666 ali mradi shida tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uchaguzi ni wako
FB_IMG_1629114262791.jpg
 
Me:Aaaahsante,nitakula siku nyingine[emoji854]

Mwenyeji; sio vizuri,chakula kipo tayari kwaajili yako,karibu ule,karibu bana[emoji7]Kula hata kidogo tu[emoji120]

Me; Ahsante,nala.[emoji120][emoji120]
FB_IMG_16291277728873589.jpg
 
Me:Aaaahsante,nitakula siku nyingine[emoji854]

Mwenyeji; sio vizuri,chakula kipo tayari kwaajili yako,karibu ule,karibu bana[emoji7]Kula hata kidogo tu[emoji120]

Me; Ahsante,nala.[emoji120][emoji120]View attachment 1894790
Kwanza ningejichekesha kidogo,[emoji23][emoji23][emoji23]then niseme"ngoja nitie baraka kidogo"[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom