Kama huyu namuitikia politely tu,nikishakata tu,narudisha muamala. Barakoa itakauka fasta.Na mvua inanyesha[emoji3064]View attachment 1894815
Duuh,,,Dogo langu ndo lasoma hapo[emoji2959]
Sipati picha Msukuma na Mnyakyusa wakioana mf. Mimi na wewe mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ondoka,sikutaki tena[emoji23]View attachment 1894805
Labda hela yenyewe 5000[emoji1787]na unajishughulisha kuiludisha[emoji23],Kama huyu namuitikia politely tu,nikishakata tu,narudisha muamala. Barakoa itakauka fasta.
Wapi nimesema wewe mtumishi ni Mnyaki mshamba? Ukinionyesha natuma laki tatu sasa hivi na ushahidi naweka hapa! [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Hofyoooooooooooo. Mimi sio mnyaki mshamba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeee!!!!Labda hela yenyewe 5000[emoji1787]na unajishughulisha kuiludisha[emoji23],
5,000 we unaiona ni ndogo? Jana umepigwa 5,000 na Voda imekuuma mpaka basi halafu leo unaidogosha kwa vile siyo yako?Labda hela yenyewe 5000[emoji1787]na unajishughulisha kuiludisha[emoji23],
Ukiwa Jf stress ni kujitakia tu[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Jf huwezi kufa kwa stress kabisa