Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Duh,kAfghanistan kimeumana. Watu wanadandia ndege kama daladala.
View attachment 1894683
Wengine wanang'ang'ania matairi mpaka wanadondoka. So sad !!!
View attachment 1894686
Treni juu ya reli.
Na kikawaida reli huwa inamudu pasina shaka.Treni juu ya reli.
Kucheka ni afya.Tupo pamoja ndugu,,,,,,binafsi napenda kucheka[emoji1787]
[emoji23]Kucheka ni afya.
[emoji38][emoji38], fayaaaa[emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Men !!!
View attachment 1894494
[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Jf huwezi kufa kwa stress kabisa
[emoji120][emoji120][emoji120]PamojaPamoja sana, Endeleeni kushea maana mnatumia bando na muda wenu kutufarahisha. Btw haka kauzi ndio kalifanya ni-Unstall FB, maana nilichokua nafuata naapata humu.
@Malachiach nilikusahau ajili ya ugumu wa jina..
Apply hyo engineer uone kama hujarushwa[emoji23]
Cc wanyaki[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1894495
Angevua kwnza jezi hyo shwain huyo[emoji2959]
Apo ni kumshukuru Mungu kwakwl daah I can't imagine that time mifuraha inazidi mihorny[emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Men !!!
View attachment 1894494
Picha Bora kwangu hii