Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Karibuni sana
FB_IMG_16288480021299087.jpg
 
Nimeamini wanawake wanaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja(multtaskers).

Wangekuwa wanatumia kwa faida kama huyu wangekuwa mbali.

Ila hawa wasomi unakuta simu moja iko sikioni,nyingine mkononi anaperuzi halafu mkono mwingine ana rimoti anabadili channel kwenye tv au anakula chips

Mimi kuongea tu na simu kwa ile staili ya kuibana sikioni na begani huku mikono ikiwa bize huwa nashidwa hata nikijitahidi sio kwa mda mrefu
 
Hata kisayansi wanaume hatuwezi multitasking...Wanawake utamkuta ana activities hata 4 kwa mpigo na zote zinaenda!
 
Back
Top Bottom