Dah,linanihusu hili kwa kweli......Ukiongezea na ugali ndo kwisha kabisa!
View attachment 1892755
Mpalestina eeeh!?
Jamani. Mbona tunajulikana kwa upole na kujali? Mengine mnatuonea tu [emoji16]
Nini tena? Watu wanatafuta utajiri ama?
Mkuu nimecheka sana. Na kweli ni kutubu tu hakuna namna [emoji16][emoji16]
Uyole moja hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Wapi hiyo?View attachment 1892885
Mengineyo ndio muhimu zaidi akiwekezaMpalestina eeeh!?
Hii ni mvua ya rasharasha tu mbona? Anza kuwekeza kwenye faya ekstinguisha, bima ya maisha na mengineyo [emoji16][emoji2099]
Yuko vizuri....tatizo tu kajisahau ikaungua. Kuna ambaye huo mviringo tu kuunda ungekutana na kituko.
Kama ule"Nipe uvumilivu"......[emoji23][emoji23]Gospel songs hits harder when unateseka hapa nje. Kwanza za Rose Muhando unaezadhani vita yako na shetani imeanza[emoji28]
Both to score!!!Unataka kumkula umwache kumbe na yeye anataka kukuambukiza ukimwi akuache[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji41][emoji41]View attachment 1893100
[emoji1787][emoji1787]View attachment 1892694