Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Oh no!

That was horrible kwa sababu hata ukisema ujitapishe ni kazi bure.

Tuliosoma boarding enzi zile hakuna ambacho hatukula. Maharage, unga na dagaa waliooza funza wanaelea kabisa mnawaona. Panya wanaotumbukia kwenye uji. Wapishi wanaosonga ugali mijasho na kamasi vinadondokea humo humo kwenye ugali...we survived it all and here we are 76 yrs and counting
Yote tisa lakini kumi panya akitumbukia kwenye uji.... Uji unakuwa mtamu sana! Believe it!!
 
Mabaharia bana. Binti sijui anaongelea kichwa gani hapa
Screenshot_20210815-233045_WhatsApp.jpg
 
Acha kuwaza mapenzi,waza ufanye vipi hili upate pesa
Na namna sahihi ya kuwaza namna sahihi ya namna ya kupata pesa,ni kwanza kuondoa stress za mapenzi ili pesa ikipatikana nitumie na mpenzi badala ya wapenzi. Nikiwa na mmoja ninayemuwaza baada ya kupata pesa,ni bora zaidi kuliko nikazidaka nikaishia Sudan Temeke.
 
Back
Top Bottom