Tawire, action.Ndio mkuu
Njoo utupikie ugali mgumu kama wa Wasukuma mjukuu...Babu[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]View attachment 1891233
Lazima ale tu,hakuna namna[emoji16]Njoo utupikie ugali mgumu kama wa Wasukuma mjukuu...
View attachment 1891239
Wadada watafutaji wabarikiwe mno!Nauza karangaView attachment 1891253
Nimeona mbona!Si nikaachia lipicha langu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh.
Bahati nzuri wote mmesinzia hamjaliona[emoji120][emoji120]
Najijua kusonga ugali siwezi[emoji16]. Mtaula mbichi[emoji23]Njoo utupikie ugali mgumu kama wa Wasukuma mjukuu...
View attachment 1891239
Mmmmh!!! Uongo[emoji3061]
Huyu mpishi wa ugali mgumu wa kisukuma nimemuzumu sana[emoji3]Njoo utupikie ugali mgumu kama wa Wasukuma mjukuu...
View attachment 1891239