Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20210814-223102.png
 

Arsenal ni jahazi linalozama au linazamishwa?Timu ambayo imekuwa miaka yote inauza chipukizi tu,wana academy nzuri ila sasa kwa soka la leo ukitaka na makombe hao chipukizi wakikua usiwauze sana mwisho wake kila mwaka utategemea udhalishe wengine mpaka waje kuzoea inataka muda wenzao wanasajili top wao wanasajili chipukizi
IMG_3963.jpg
 
Back
Top Bottom