Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vijijini huko enzi zile tunasoma unaamka asubuhi unakuta eti sisimizi kibao wamejichanganya wameingia kwenye maziwa ya mgando. Unaona wanakupotezea muda bure. Unawavurugiamo kwenye maziwa halafu unawanywa humo humo. Siku nzima unacheua vitamin tu yaani afya kede kede. Mamende siyapendi hasa yale makubwa ila hawawezi kunifanya nikatupa chakula changu - hasa kama ni ugali na nyama. Nevaaa !!!
Dogo alinisimulia wakiwa boarding waliamka kwenda kunywa ule uji wa saa 11asubuhi,wamekunywa fresh sasa ile wanamalizia kunywa wale wapishi nao ndio wanamalizia kugawia wanafunzi wengine uji wa chini kwenye yale mapipa ndio wanaona lipaka limefia humo halafu limechambuka chambuka ile mbaya

Kilichofuata hapo ni kila mtu kufa kivyake
 
IMG_20210815_160725_050.jpeg
 
Oh no!

That was horrible kwa sababu hata ukisema ujitapishe ni kazi bure.

Tuliosoma boarding enzi zile hakuna ambacho hatukula. Maharage, unga na dagaa waliooza funza wanaelea kabisa mnawaona. Panya wanaotumbukia kwenye uji. Wapishi wanaosonga ugali mijasho na kamasi vinadondokea humo humo kwenye ugali...we survived it all and here we are 76 yrs and counting
 
Back
Top Bottom