Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
-Leo ndio mwisho wa usajili kwa timu ambazo zitashiriki mashindano ya kimataifa CAF Champion League na CAF Confederation Cup. mpaka sasa hawa ndio wachezaji wa kimataifa waliomalizana na timu za Simba, Yanga na Azam kwa ajili ya msimu 2021/22.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1893140
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitakuepo uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1893140
View attachment 1892435
Ifutwe kwa kweli
Muone! [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitakuepo uwanjani
Mchezo gani? [emoji15][emoji15]Huwa nawawaza hawa ule mchezo wanafanyajena jamaa alivyo kama mtoto
Pointi ni zile zile...
View attachment 1892767
9. Hostile neighboring societies
10. Lack of capital
11. Natural calamities
Miye siyo shabiki wa mpira. Ila ukisema nikusindikize tunaweza kwenda [emoji16]Nawe utakuepo kwani[emoji16][emoji16]
Haya tutaenda wote tukawaone wacongo[emoji16][emoji16][emoji16]Miye siyo shabiki wa mpira. Ila ukisema nikusindikize tunaweza kwenda [emoji16]
Akaa. Ss nimeongea ukweli wangu. Unataka kubishaEti kupelekewa moto siyo kivile. Muone!
Mapochopocho ya Zenj huko halafu dah! Ngoja niishie hapa nisije nikakufuru bure!