MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,600
- 149,993
[emoji23][emoji23] dr kaniambia nisitoe vichwa,nisiwaoshe sana[emoji16].Hapo bado kuna tatizo!
Mimi siwali!
Na uvivu unachangia,naonaga shida kutoa vichwa dagaa,kuchambuamatembele,kukata mboga