Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,200
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu,usitake nicheke usiku huu khaa!!Hiki hata Google hakimo. Dah mtaniweza kweli wallahi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu,usitake nicheke usiku huu khaa!!Hiki hata Google hakimo. Dah mtaniweza kweli wallahi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Gracias amigo! [emoji1474][emoji16][emoji16][emoji16] mimi sio kama yule kaka
Lazima ujinyonge
Na machinga Leo kuna mmoja alikuwa Anaandaa eneo la kuuzia vitu kwenye round about, Kisutu nimeshangaa balaa.
Wao wanasema hivyo[emoji41]Kutoboa pua na umalaya?
Siyo kweli bhana
Wewe Msukuma una tatizo una muacha mwanamke kisa hajui kupika inabidi utafute Msukuma mwenzio Mshamba😬Ukifuata hizo hatua hapo juu hutapika ugali mbichi au uliofubaa tena.
Nilikuwa na demu wangu Mchaga kila siku yaani ugali mbichi nikafundisha weee mpaka nikachoka ikabidi tu kumpiga chini. Kwangu mimi ni afadhali demu asiwe na tako lakini ajue kupika ugali sawasawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji870]
Kichinaa kimenishinda kwa kweli lakini hizi za kilatini, kifaransa, kiarabu nateleza tuKichina na Kiarabu ziko katika kiwango kimoja cha ugumu. Nimeshajaribu zote mbili na zote zikanishinda. Kiarabu ni huo mfumo tata wa irabu katika mzizi wa vitenzi na nomino:
Ktb kwa mfano:
Kitabu
Katibu
Katiba
Maktaba
Mkutubi
Mtanange huu ulinishinda kwa kweli.
Kichina sana sana ni hayo matoni yake. Vurugu tupu yaani....
Romance Languages - Kifaransa, Kireno na Kihispania pamoja na Kiitaliano kidogo siyo mbaya sana.
Germanic languages - Kiingereza na Kijerumani pia hali siyo mbaya sana japo Kijerumani ni kazi pevu kidogo hasa kutokana na mfumo wake tata wa Case.
Lugha za Kibantu ndo mtelezo tu yaani kwa sababu hata uandishi wake ni rahisi tu; na ukijua moja ni kama vile umefungua mlango wa kuzifahamu zingine...
Lugha - mojawapo ya maajabu ya binadamu japo tunazichukulia poa...
Inakuhusu sana hiyo[emoji23]Hainihusu[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]View attachment 1890676
Hainihusu kwasasa[emoji2902][emoji2902]Inakuhusu sana hiyo[emoji23]
Uko sahihi [emoji122][emoji122][emoji122]Wewe Msukuma una tatizo una muacha mwanamke kisa hajui kupika inabidi utafute Msukuma mwenzio Mshamba[emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katiba mpya lazimaaa!!!
View attachment 1890867
Atakufa kabla ya umri wake huyu..shauri yake[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1890871
Acha kamba. Sidhani kama unamwongelea mama hapa. Likely libaharia fulani lenye bahati [emoji16][emoji16][emoji16]Mama kipenzi[emoji173][emoji173]View attachment 1891345
Leo Wanyaki nao wamekumbukwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Watanga huwa hatujaribiwi wala hatupigwi chini labla wenyewe tuamueUko sahihi [emoji122][emoji122][emoji122]
Safari hii nataka kujaribu Tanga. Nasikia Wazigua na Wadigo wako vizuri kila sekta mpaka kwenye kupika ugali japo wao eti wanachemsha kwanza uji. Ugali wa hivyo huwa mlaini halafu akikosea kidogo tu mabunye hatari. Nitakayempata kutoka Kanda hiyo nitamfundisha kupiga huu ugali wa kweli ila naye akizingua napiga chini!