Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Jamaa inaonekana yuko vizuri aisee vinginevyo angeweza hata kufyatua magoti [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Atakufa kabla ya umri wake huyu..shauri yake
Jamaa inaonekana yuko vizuri aisee vinginevyo angeweza hata kufyatua magoti [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Atakufa kabla ya umri wake huyu..shauri yake
Unapenda bipasho unauwezo wa kugombana na mtu msaaa mangapi bila kuchoka mpendwa❤️Habari ndio hiyo[emoji16]View attachment 1891354
Hizi energy drinks zinawadanganya sana[emoji1787]Jamaa inaonekana yuko vizuri aisee vinginevyo angeweza hata kufyatua magoti [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1891357
Kesi hii itafika mpaka kwa mama. Sijui ndo itakuwaje sasa.
Simpandi namparamia[emoji2]Usiku mwema[emoji120]View attachment 1891359
Mjukuu wangu...Usiku mwema[emoji120]View attachment 1891359
Na wewe unatoka Tanga mpendwa? What a coincidence! [emoji15][emoji15]Watanga huwa hatujaribiwi wala hatupigwi chini labla wenyewe tuamue
Wallah sijawahi kugombana na mtu,Kulushiana maneno siwezi,najijua nitaishia Kulia tuUnapenda bipasho unauwezo wa kugombana na mtu msaaa mangapi bila kuchoka mpendwa[emoji3590]
Katika kitu nisicho kipenda wakati wa kulala Ni kukumbatiwa!Mie nikimpata wa kulala nae,nitaleta mrejesho[emoji16]View attachment 1890666
Kumbe jamaa yangu umechange kimya kimya, kumbe ni wewe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
'Amani ya akili na moyo'Hainihusu[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]View attachment 1890676
Mkuu huja 'skrinishut' unitumie pm?! Nakaribia kutuma maombi kwa Shimba, isije nikawa najila tuu[emoji16][emoji16]
Nimekuelewa babu,,,,,,mie nipo hapa naota motoMjukuu wangu...
Mjukuu wangu...
Mjukuu wangu...
Nimekuita mara tatu. Bila shaka unaelewa maana yake! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mnateseka woteLeo tuko Sinza hapaView attachment 1891370
Najijua nalala hovyo,hivyo kulala zaidi yangu,mbona nitajiona nimelala kwenye chupa[emoji3061]
Inabidi uwe na bed la 6/6Najijua nalala hovyo,hivyo kulala zaidi yangu,mbona nitajiona nimelala kwenye chupa[emoji3061]
Duh..! Si kwa ukazibe huo.Mkazie hivyo hivyo huyo baharia mjukuu wangu. Sijaona pdf wala nini. Hapa nilipo nimefura vibaya sana [emoji51][emoji51][emoji51]