Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,884
- 37,837
Sasa ukiwa na watoto wanne na baba itauwaje + na wewe.Najijua kusonga ugali siwezi[emoji16]. Mtaula mbichi[emoji23]
Ugali nasonga mwisho wakula MTU mbili tu.
Kwasababu Gani......kila nikisonga ugali mama ananiambia haujaiva[emoji2902][emoji2902]
Sent using Jamii Forums mobile app