[emoji16][emoji16]
Wanasema uyo kwenye bag ni lecture wa SUA[emoji16]On the way to Kilingeni MsataView attachment 1887656
..100% [emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1887794
[emoji847][emoji847]صباح الخير [emoji41]View attachment 1887932
Nazisave "aaaaaaaa" Ili ziwe mwanzo[emoji23][emoji23]
Inavyoonesha kuna Jambo lipo midomon mwetu wanataka lipungue upepo wake
Ila Rwanda ni ndogo kuliko Tanzania ila ni kwl Wana kiongozi mwenye akiliPK akili kubwa, usimlinganishe na mataahira wasio na strategies za kuinyanyua nchi na hawana hata idea waanzie wapi.
Ile Rwanda baada ya civil war Watutsi na Wahutu ilikuwa hovyo hovyo sana, lakini sasa hivi wapo vizuri at least na wanazidi kusonga mbele kwa spidi kali.
Yaan upinzani washindwe wenyw tu kwakwl naona ata Rungwe achange vizuri karata zake tumchague tu[emoji16][emoji16]Mnyukano!
Naona wameita vyombo vya habari. Upinzani mjipange vizuri. 2025 mshindwe wenyewe tu...
View attachment 1888334
Dikteta mwenye akili...Yaan upinzani washindwe wenyw tu kwakwl naona ata Rungwe achange vizuri karata zake tumchague tu[emoji16][emoji16]
Alaf jamaa kashinda japo katoka na wheelchair [emoji16][emoji16]View attachment 1889722View attachment 1889723Medali za dhababu hazipatikani hivi hivi huko Tokyo. Ni sacrifice na dedication...View attachment 1888556View attachment 1888559
[emoji23][emoji23][emoji23]kitanda kufunika hvy shuka bwenini tulikuwa tunaita enclosure system