PK akili kubwa, usimlinganishe na mataahira wasio na strategies za kuinyanyua nchi na hawana hata idea waanzie wapi.
Yaani hawa ndiyo wametolewa, asalaale[emoji849][emoji2297][emoji849][emoji2297]
Mpaka pale utakapoanza kujitambua, msaliti wahed.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ndiyo maana sinaga mpenzi wa ndoto zangu
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Akishamenywa gamba hana tofauti na kolekole
Haujui wewe[emoji16]Asee bora nikose ndevu ila nguvu zetu pendwa niwenazo[emoji28][emoji28]
Power Mabula mwenyewe.Kama unamjua huyo kibonge usimsikilize Polepole wala Kibwetere mfufua wafu; na mrudisha misukule. Nenda kachanjwe [emoji16][emoji16]
View attachment 1888155
Huyu ROBERT MJOMBA majibu yote amepata, kwanini kawekewa kosa na kuandikiwa majibu ya uongo kama eti ndiyo masahihisho?
Musiba, Musiba kimeumana.Shangazi kama shangazi...View attachment 1888193
Ukitumiwa alfu 5 ya kusuka kama haitoshi jiongzeRasta wanasuka kwa buku 2??
Manda twende kilioni[emoji33]
Hivi tukunyema=chura??au ina maana gani?Wakati si mileleView attachment 1888269
[emoji23]Ukitumiwa alfu 5 ya kusuka kama haitoshi jiongze
Nijulishe mkuu pengine najidanganya[emoji3]Haujui wewe[emoji16]