Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Amina mkuu, church girls wana umuhimu wake sana kuliko hawa wa ukirudi niletee k-vant ndogo[emoji120]Nimepata kabinti ka kilokole aisee ndo kapo kanapambana ila vita ni vikali si vya kitoto aisee. Kwa neema ya Mungu nitaokoka tu. Tukutane peponi kamanda [emoji122][emoji122][emoji122][emoji1545][emoji1545]