Usiniambie!!Nitakutumia hapa hapa ondoa shaka
Njoo PM ASAP! Achana na babu yako nitamnunulia kopo la ugoro!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Amenishinda tabia kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...namgawa kwa mkopo
Sasa mbona alikwambia kuwa yupo kwenye ndoa na inaendelea vizuri, salamu gani hiyo mkuu ulimwambia?! [emoji16][emoji16]Chief, nilikuwa nasalimia kilugha tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
We hujawahi kuingia benki ndani ukamsalimia teller na kumuuliza kama jimbo liko wazi? Mimi nishawahiSasa mbona alikwambia kuwa yupo kwenye ndoa na inaendelea vizuri, salamu gani hiyo mkuu ulimwambia?! [emoji16][emoji16]
Nimemtongoza nimemuuliza? Mtu atongozwe hadharani kiasi hicho! Astaghfirullah!! Rekebisha kauli yako chief, usiniwazie mabaya!Jamaa alikua anatongoza sema Dada rukia16 amesema kaolewa na ndoa yake mzuri tu
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu ndio muuambiane kwa kilugha, niliingiwa na mashaka tu nikasema kuna mtu hapa analeta ufisi [emoji16]We hujawahi kuingia benki ndani ukamsalimia teller na kumuuliza kama jimbo liko wazi? Mimi nishawahi
Kwani kumsalimia mdada mzuri na kujua kama Jimbo liko wazi ni kosa!? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mbona kuna watu wanaulizana tena kwa kiswahili, wengine kilugha tena wazi wazi!Sasa mkuu ndio muuambiane kwa kilugha, niliingiwa na mashaka tu nikasema kuna mtu hapa analeta ufisi [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu ndio muuambiane kwa kilugha, niliingiwa na mashaka tu nikasema kuna mtu hapa analeta ufisi [emoji16]
Kwa hiyo mkuu@Taavid SHIMBA YA BUYENZE kakuokoa sana na tafsiri yake toka gugo[emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu ndio muuambiane kwa kilugha, niliingiwa na mashaka tu nikasema kuna mtu hapa analeta ufisi [emoji16]
[emoji16][emoji16]just joking mkuuMbona kuna watu wanaulizana tena kwa kiswahili, wengine kilugha tena wazi wazi!
Shukrani za dhati ziende kwa mkuu Shimba kwa kutukamatia kijana wetu alietaka kuharibu mambo [emoji16][emoji16]Kwa hiyo mkuu@Taavid SHIMBA YA BUYENZE kakuokoa sana na tafsiri yake toka gugo[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu yangu,hawezi kuwa mchawi[emoji16]Huyu babu yako kila akizeeka iko siku atakuwa mchawi huyu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Unataka kusemaje,,,?[emoji23][emoji23][emoji23]Lugha ya malkia.