Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Janja janja
FB_IMG_1628691740273.jpg
 
Viatu vya mabishoo hivyo mkuu [emoji16][emoji16]. Tena anazo pair mbili kabisa, je hana pair ambayo kiatu kimoja unakuta upande mmoja mweusi mwingine mweupe, na kiatu kingine kinakuwa hvohvo?
[emoji28]Yeye pair moja ni nyeupe kabisa na pair nyingine ni black kabisa,kama ni mchina au original hapo ndio sijui
 
Back
Top Bottom