Hiki sio kituko ni ukweli kabisa,wengi wanaokaa kumjadili Mo wako hivihivi
HahahaMpaka pale utakapoanza kujitambua, msaliti wahed.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli anaupiga mwingiGwajiboi naye anaupiga mwingi sana [emoji16]
View attachment 1888805
Dini zote za kifedhuli zitafilisika
Aseee, mzee haukubali kushindwa[emoji23]Angalau kwa juu juu...baada ya kusalimiana...[emoji16][emoji16][emoji16]...
E: Una mume?
R: Nina ndoa yenye furaha
E: Nilifikiri jimbo liko wazi
R:Jimbo lilishafungwa tangu muda mrefu sana mpendwa....
Hamfai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1888857View attachment 1888858View attachment 1888859View attachment 1888860View attachment 1888861View attachment 1888862View attachment 1888863
Baharia anapambana laivu. Safari nyingine watakwenda PM [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] Pia umeshtukia aiseeehBaharia anapambana laivu. Safari nyingine watakwenda PM [emoji16]