Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
IMG_20210812_010212.jpg
 
Gwajiboi naye anaupiga mwingi sana [emoji16]
View attachment 1888805
Fact, na hii pia sijawahi kumkubali porn star Gwajiboy wala mwendakuzimu the late Hamnazo lakini kwenye suala la kusimamia alichokuwa akikisimamia tangu awali ni credit kwake(haimaanishi ninakubaliana na mtazamo wake [emoji817] kwenye issue ya Covid19).
 
Nchi yangu TANZANIA.
Hivi inawezekana kabisa hawa Jamaa kutufanya sisi wote wajinga?!
Hili gazeti ni mali ya nani,kabla ya kuchapa huwa hawahariri habari zao?!

Wazee wa kutengeneza tatizo na kulitatua,kuna jambo linafichwa hapa.

Drama tuwaachie wasanii, please
Bora umeustukia mchezo, mimi nilistuka tokea picha linaanza.
It's a scripted shit, ni kwamba wanaujilisha umma yajayo kwa namna ya 'tisa'.
 
Dah inauma hii[emoji23] ngoja nilale tu sasa
Jamani soulimeti. Na ulimbwende wote huo; ni mwanaume gani ana ubavu wa kukufanyia ukatili hivi? Mpaka leo nakuna kichwa ule uzi wako masikini eti umeachwa wakati baharia ulikuwa unampenda hatari. Mabaharia wengine wana roho gani jamani? Kabinti kapole keupe kalimbwende kachangamfu kasomi kenye msambwanda kama wewe unakaacha kwa sababu gani jamani? Yaani sielewi kabisa [emoji16][emoji51]
 
Back
Top Bottom