Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384


Kweli aisee






Dada kwema?Yaani nikifa leo wataona aibu maana daftari la madeni lipo chini ya meza ya sebureni. Mliomo humu mnilipe kutoa wanangu ambao wenyewe wakijua wanadaiwa wananitumia mess.
Kumbuka humu wengi tunatumia pseudo names lakini tunawasiliana.
JF imenipa watoto wakuniimbia Pambio kama la mwendazake nikijiondokea. Imenipa wadogo watakao koka moto ili wachawi wasiniibe. I love. Jf
Wazee enzi yenu hiyo ilikuwa kawaida, kuna mzee mmoja alikuwa ananiambia vijana sikuhizi tunajiona tunakula good time lakini sio kweli, enzi yake akiwa kijana miaka hiyo ya 70 kama sijakosea walikuwa wanaenda kung'oa warembo mitaa ya msimbazi, wanajichapia nyama kwa nyama na vitu bado viko piruuHii ni sawa na kuuliza: ulishawahi kumbikiri binti ye yote?
Jibu ni ndiyo...sita actually (and counting)![]()
hakuna magonjwa ya hovyo unapata.Mbozi ipi kijana labda Tunduma au mlowo kwa wafanyabiashara ,Chaula wa Vwawa alushaacha siku hizi kazeeka ilikuwa zamani sana,tumgoshe tumlesheAheri hawa wanauza.
Huku kwetu Mbozi, Songwe watu wakitaka utupu ( (Uke, Uume) wako watafutie utajiri, wanakuua ili waupate bureView attachment 1887727