Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,774
- 147,003
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sambaza umeme mzee[emoji23]Nguvu kani mvutano[emoji23]kumbe nami nimo[emoji1545][emoji851]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sambaza umeme mzee[emoji23]Nguvu kani mvutano[emoji23]kumbe nami nimo[emoji1545][emoji851]
Gesti.... kuchukua hela ya marejesho[emoji23]Kuna vikoba makutano ni gesti hausi[emoji19]
Huku bado sana,nazi hatuzijui tunatumia alizeti kusaga na kuungia mboga[emoji23]Mjini mpaka nazi zinakunwa na mashine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vilinge vitakufa.. Haturuhusu mwanga wa mzungu[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Unakwenda kwenye nchi kama hii unajikuta wewe ndio mgeni unapokelewa na wenyeji wako kwa ngoma za kiasili na mabinti wanacheza kama hivyo! Binafsi nisingeweza kujizuia ningemwomba mwenyeji wangu aniletee kimoja au viwili ili nikate kiu [emoji39][emoji39][emoji39]
Ni kama ilivyo kwenye English "Ni mara ya tano amekwenda kuchanja chanjo ya Covid'Kiarabu unakifahamu. Hebu tafsiri hapo please
Sasa unataka tukanyolee wapi? [emoji15][emoji15][emoji15]Asilimia kubwa wanaume wanaoingia kwenye barbershop ni wahuni
Hatunaga mambo mengi[emoji23]Hayo ndio maisha sasa.. Unakuta mtu hana mwili lakini...View attachment 1887415
Hapo namkumbuka Client Eastwood, dah jina la movie The good the bad and the ugly!! Kitambo sana [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Kila siku mnaambiwa hao ni waasi na wanaitumia dini kama kivuli cha kufanyia mambo yao bado hamuamini!Halafu mijitu inakuaminisha inapigania Dini, dini my foot[emoji57]