Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asee nilibadili jina ooooh kilichonikuta

Halafu hii mijina ya urithi tabu tupu
FB_IMG_16285282900369088.jpg
 
Nilijichanganya nikaingia barbershop moja ya kisasa pale Mikocheni uwiii. Baada ya kunyolewa na kabla sijajua kinachoendelea nikajikuta niko peke yangu kwenye kichumba hivi na mrembo wa Kiiraqwi eti nifanyiwe skrabu. Msukuma hata hiyo skrabu sijawahi kuisikia. Nilikuwa ndo nimeuza nyanya na dengu zangu huko Misungwi hivyo nilikuwa nimepiga pamba za uhakika sana. Eeh bana eeh. Kitambaa cha maji ya uvuguvugu kikapita kichwani na kwenye midevu. Mara matiti meupe laini mchongoko yaliyoshiba haya hapa laivu huku skrabu ikiendelea halafu kwa sauti nyororo nikaulizwa "unataka nini?". Hata sijui nilijibu nini lakini mpaka naondoka pale nilipigwa elfu kadhaa japo kunyoa nadhani ilikuwa elfu 15 hivi. Sasa hivi nanyolea kwenye barbershop za Uswazi huku ambako hakuna hii mishtukizo ya skrabu. Buku mbili tu kichwa safiiii
 
Siendagi huko mimi
 
Bila shaka pesa yako ya nyanya yote ukaiacha kwa mtoto wa mjini hapo
 
Back
Top Bottom