Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,297
Afu SHIMBA YA BUYENZE anadai anasingiziwa 😁😁😆
Afu SHIMBA YA BUYENZE anadai anasingiziwa 😁😁😆
Pongezi kwako kama ni kweliNingekuvua vyeo vyote kama ungesema "Wote wanaoingia". Nimeanza kunyolea Magic na scrub toka 2003, sijawah beba hata mmoja toka utoto hadi utu uzima huu!. Ila inataka ukauzu wa kiwango cha SGR kuikwepa ile mitego yao![]()
EPongezi kwako kama ni kweli
Huku kijijini kwetu litembo tunatumia butterfly,,umeme hakunaSiku hizi zipo za umeme![]()
